Mei 2025 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Dallin H. OaksKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa WakuuRais Oaks anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo na Maafisa Wakuu wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho kwa ajili ya kura ya kuwakubali. Jared B. LarsonRipoti ya Idara ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Kanisa, 2024Jared B. Larson anasoma Ripoti ya Ukaguzi ya Mahesabu ya Kanisa. Jeffrey R. HollandKama Mtoto MdogoRais Holland anafundisha umuhimu wa kuwa kama mtoto mdogo ili kuingia katika ufalme wa Mungu. Camille N. JohnsonMzima Kiroho katika YeyeRais Johnson anafundisha kwamba, tunaweza kukamilishwa kiroho, hata wakati tunaposubiri uponyaji wa kimwili na kihisia. Ronald A. RasbandMbele ya Macho YetuKwa kutambua kwamba Bwana anaharakisha kazi Yake, Mzee Rasband anazungumzia ukuaji wa Kanisa kwa waumini, misheni, mahekalu na jitihada za elimu. Quentin L. CookUpatanisho wa Yesu Kristo Hutoa Uokoaji wa MwishoMzee Cook anatumia mfano wa waanzilishi wa mikokoteni ya mkono kufundisha kwamba Yesu Kristo atatuokoa kutokana na dhoruba za maisha. Ricardo P. GiménezUpendo Wangu kwa Mwokozi Ndiyo “Kwa Nini” YanguMzee Giménez anafundisha kuhusu umuhimu wa kuunganisha vitendo vyetu na upendo kwa Yesu Kristo. Henry B. Eyring“Songeni Karibu Nami”Rais Eyring anafundisha kwamba tunaweza kusonga karibu na Mwokozi kupitia kusali, kusikiliza kwa ajili ya mwongozo, na kwa kuwatumikia wengine. Kikao cha Jumamosi Mchana Neil L. AndersenKuthamini MaishaMzee Andersen anafundisha kuhusu umuhimu wa maisha na umuhimu wa kulea na kuyalinda. Steven J. LundMamlaka ya Kiungu, Wavulana AdhimuRais Lund anafundisha kuhusu wajibu wa wenye Ukuhani wa Haruni na baraka za huduma yao. S. Mark Palmer“Nirudie Mimi … Ili Niweze Kukuponya”Mzee Palmer anafundisha kwamba kamwe hatujachelewa kurudi kwa Yesu Kristo na injili Yake. Sandino RomanImani: Mapatano ya Kuaminiana na UaminifuMzee Roman anafafanua imani kama kutumainia katika Yesu na uaminifu Kwake na anafundisha jinsi tunavyoweza kuilea na kuongeza imani yetu. Dale G. RenlundMaandalizi Binafsi Kukutana na MwokoziMzee Renlund anatumia masomo kutoka kwenye mafumbo matatu ya Mwokozi kufundisha jinsi tunavyoweza kujiandaa kwa ajili ya Ujio wa PIli. Hans T. BoomKweli kwa Imani Ambayo Wazazi Wetu WameitunzaMzee Boom anatufundisha sisi kutafuta nguvu katika imani na shuhuda za wazazi wetu na mababu zetu. Dieter F. Uchtdorf“Hivyo Watu Wote Watatambua Ya Kuwa Ninyi Mmekuwa Wanafunzi Wangu”Mzee Uchtdorf anafundisha kwamba upendo wetu kwa wengine huonyesha uanafunzi wetu na kwamba tunaweza kupata kuwa wa na umoja katika Kanisa la Kristo. Kikao cha Jumamosi Jioni Gary E. StevensonNa Tunazungumza Kuhusu KristoMzee Stevenson anafundisha kwamba tunapokubali mialiko kutoka kwa viongozi wa Kanisa kwa makusudi kusherekea Pasaka, tutapata kwamba muunganiko wetu na Yesu Kristo utakuwa imara. Amy A. Wright“Wewe Ndiwe Kristo”Dada Wright anafundisha kuhusu umuhimu wa kuwasaidia watoto wetu waamini katika Yesu Kristo na kuwa zaidi kama Yeye. James R. RasbandMpango wa RehemaMzee Rasband anafundisha kwamba Mungu ni mwenye rehema na mpango wa wokovu ni mpango wa rehema. Sergio R. VargasMfumo Wetu wa Mwongozo wa MbinguniMzee Vargas anafundisha kwamba kufokasi juu ya Yesu Kristo kutatusaidia kukabiliana na dhoruba za maisha na kutuandaa sisi kurudi siku moja nyumbani kwetu mbinguni. D. Todd ChristoffersonAbuduMzee D. Todd Christofferson anafundisha kuhusu matendo ambayo yanajumuisha kuabudu; mitazamo inayohusiana na kuabudu; upekee wa kuabudu kwetu; na haja ya kufuata mfano wa Viumbe tunavyoabudu. Kikao cha Jumapili Asubuhi David A. BednarNyakati za Kufanywa Upya kwa Vitu VyoteMzee Bednar anatoa muhtasari wa vipengele vya Urejesho wa Injili ya Yesu Kristo na Kanisa, ikijumuisha Ono la Kwanza, Kitabu cha Mormoni, na ukuhani. Steven D. ShumwayKushiriki kwenye Kujitayarisha Kwa ajili ya Ujio wa KristoMzee Shumway anafundisha kwamba miito na njia zingine za kutumikia katika Kanisa hutusaidia kukua na kujitayarisha kusimama mbele za Mwokozi. Tamara W. RuniaToba Yako Haimchoshi Yesu Kristo; Inaongeza Shangwe YakeDada Runia anafundisha kwamba thamani yetu haibadiliki wakati tunapofanya makosa na kwamba Mwokozi anatuelewa na anatutaka tumchague Yeye tena na tena. Gérald CausséFidia ya BarakaAskofu Caussé anafundisha kwamba ufinyu na changamoto hautawazuia watoto wa Mungu kupokea baraka za Bwana zilizoahidiwa. Gerrit W. GongZawadi Kuu za Milele: Upatanisho wa Yesu Kristo, Ufufuko, UrejeshoMzee Gong anafundisha kwamba Yesu Kristo hutuelewa kikamilifu katika huzuni na shangwe zetu na hutupatia zawadi ya upatanisho, ufufuko na urejesho. John A. McCuneShangwe Kupitia Uanafunzi wa AganoMzee McCune anafundisha shangwe tunayoweza kuipata kwa kufanya na kushika maagano pamoja na Baba wa Mbinguni na kumfuata Yesu Kristo. Dallin H. OaksMisaada ya Kiungu kwa ajili ya Maisha ya DunianiRais Oaks anaelezea njia mbali mbali ambazo kupitia hizo Baba wa Mbinguni hutusaidia sisi wakati wa safari yetu duniani, kama sehemu ya mpango Wake kwa ajili ya maendeleo yetu ya milele. Kikao cha Jumapili Mchana Ulisses SoaresStaha kwa ajili ya Vitu VitakatifuMzee Soares anafundisha kwamba kuwa na staha kwa ajili ya vitu vitakatifu kutaleta shukrani, ufunuo na shangwe. Michael B. StrongHisani—Ishara ya Uanafunzi wa KweliMzee Strong anafundisha kanuni ambazo zinaweza kutusaidia kuzamisha kwa kina uanafunzi wetu kwa Yesu Kristo na kuwa zaidi kama Yeye. Scott D. WhitingJihadharini na Jaribu la PiliMzee Whiting anafundisha kwamba tunapaswa kukinza jaribu la kuficha dhambi zetu na badala yake tunapaswa kutafuta msaada wa kiungu. Christopher H. KimMsishupaze Mioyo YenuMzee Kim anafundisha kwamba tunaweza kulainisha mioyo yetu kupitia toba, unyenyekevu na uaminifu katika Bwana. Patrick KearonPokea Zawadi YakeMzee Kearon anatualika sisi tupokee vipawa vya Baba wa Mbinguni kwa ajili yetu, hasa kipawa cha Mwanawe na ukweli kwamba sisi ni watoto wa Mungu. Benjamin M. Z. TaiUpendo wa MunguMzee Tai anafundisha kuhusu jinsi tunavyoweza kuhisi upendo wa Mungu na Yesu Kristo katika maisha ya kila siku. Russell M. NelsonKujiamini katika Uwepo wa MunguRais Nelson anafundisha kwamba tunaweza kujiamini katika uwepo wa Mungu tunapojaza maisha yetu kwa hisani na wema. Miito Mipya Mzee John D. AmosWasifu wa Mzee John D. Amos, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Ronald M. BarcellosWasifu wa Mzee Ronald M. Barcellos, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Steven C. BarlowWasifu wa Mzee Steven C. Barlow, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Kevin G. BrownWasifu wa Mzee Kevin G. Brown, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee B. Corey CuvelierWasifu wa Mzee B. Corey Cuvelier, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu Mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Michael CzieslaWasifu wa Mzee Michael Cziesla, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee James E. EvansonWasifu wa Mzee James E. Evanson, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Brik V. EyreWasifu wa Mzee Brik V. Eyre , aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Ozani FariasWasifu wa Mzee Ozani Farias, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Aaron T. HallWasifu wa Mzee Aaron T. Hall, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu Mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Brian J. HolmesWasifu wa Mzee Brian J. Holmes, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Pedro X. LarrealWasifu wa Mzee Pedro X. Larreal, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Clement M. MatswagothataWasifu wa Mzee Clement M. Matswagothata, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Eduardo F. OrtegaWasifu wa Mzee Eduardo F. Ortega, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Edward B. RoweWasifu wa Mzee Edward B. Rowe, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Mzee Wan-Liang WuWasifu wa Mzee Wan-Liang Wu, aliyekubaliwa kama Sabini Mkuu mwenye Mamlaka mnamo Aprili 2025. Rais Timothy L. FarnesWasifu wa Rais Timothy L. Farnes, aliyekubaliwa kama Rais Mkuu wa Wavulana mnamo Aprili 2025. Kaka David L. WunderilWasifu wa Kaka David J. Wunderli, aliyekubaliwa kama Mshauri wa Kwanza katika Urais Mkuu wa Wavulana mnamo Aprili 2025. Kaka Sean R. DixonWasifu wa Kaka Sean R. Dixon, aliyekubaliwa kama Mshauri wa Pili katika Urais Mkuu wa Wavulana mnamo Aprili 2025. Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka na Maafisa Wakuu wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za MwishoChati inayoonesha Viongozi wa Kanisa. Ripoti ya Takwimu, 2024Ripoti ya Takwimu za Kanisa kwa mwaka 2024. Nyuma ya Matukio: Huduma za Ukalimani na Huduma za WageniMtazamo kwenye huduma za ukalimani na huduma za wageni kwa ajili ya mkutano mkuu. Kufundisha, Kujifunza, na Kutumia Jumbe kutoka kwenye Mkutano Mkuu