Ripoti ya Takwimu, 2024
Kwa taarifa za waumini wa Kanisa, Urais wa Kwanza umetoa ripoti ifuatayo ya takwimu kuhusu ukuaji na hali ya Kanisa kufikia Desemba 31, 2024.
|
Vitengo vya Kanisa | |
|
Vigingi |
3,608 |
|
Misioni |
450 |
|
Wilaya |
494 |
|
Kata na Matawi |
31,676 |
|
Waumini wa Kanisa | |
|
Jumla ya Waumini |
17,509,781 |
|
Watoto Wapya wa Kumbukumbukatika Mwaka 2024 |
91,617 |
|
Waongofu Walibatizwa katika Mwaka 2024 |
308,682 |
|
Wamisionari | |
|
Wamisionari Vijana wa Kufundisha |
74,127 |
|
Wamisionari Waandamizi watoa Huduma za Kanisa |
31,120 |
|
Wamisionari Vijana watoa Huduma za Kanisa |
4,192 |
|
Mahekalu | |
|
Mahekalu Yanayofanya Kazi |
194 |
|
Mahekalu Chini ya Ujenzi au Ukarabati |
59 |
|
Mahekalu Mapya Yaliyotangazwa |
114 |