Rafiki ya Januari 2025 Mwokozi WanguSanaa nzuri cha Yesu Kristo pamoja na watoto. Karibuni, Marafiki!Barua ya utangulizi wa toleo hili la jarida la Rafiki. Russell M. NelsonKutoka kwa Urais wa Kwanza: Urejesho ni kwa ajili YakoRais Nelson anashiriki ujumbe kuhusu Urejesho. Alelie Coronel-CamitanKama Vile JosephLhensay anajifunza kuhusu Joseph Smith na Ono la Kwanza. Maneno Yangu ya InjiliUkurasa wa kuwafundisha watoto maana ya maneno ya injili. Jeffrey R. HollandMajibu kutoka kwa Mtume: Nini cha Kukumbuka Wakati Maisha Ni MagumuSoma ujumbe kutoka kwa Rais Holland kuhusu nini cha kukumbuka wakati maisha ni magumu. Hujambo kutoka EstoniaFanya safari ili ujifunze kuhusu Estonia! Kumfuata Yesu huko EstoniaKutana na Hugo kutoka Estonia na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Kadi za MahekaluKadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Vitu vya Kuburudisha: Diorama ya Ono la KwanzaTengeneza diorama yako mwenyewe ya Ono la Kwanza. Marafiki kote UlimwenguniMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Lucy Stevenson EwellSiku ya Mvua KambiniLucy anasali kwa ajili ya mvua kuacha kunyesha ili aweze kwenda kwenye mchezo wake wa softball. Angie KillianMuziki: Kijisitu Changu Mwenyewe KitakatifuMuziki uliorahisishwa kwa ajili ya “Kijisitu Changu Mwenyewe Kitakatifu.” Susan H. PorterKutoka kwa Viongozi Wetu: Kipawa cha SalaDada Porter anasimulia kuhusu jinsi Baba wa Mbinguni anavyosikia sala ya kila mtoto. Njoo, Unifuate Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Urejesho UnaanzaRamani ya hatua za mwanzo za Urejesho, kufuatia safari ya Joseph Smith ya kutafuta Kanisa la kweli. Hadithi za Maandiko: Ono la KwanzaSoma hadithi kuhusu Ono la Kwanza la Joseph Smith. Itafute ya Historia ya Kanisa: Safari ya Mashua kwenda HekaluniShughuli ya picha iliyofichwa kwa ajili ya watoto Kelvin Njenga MungaiWaanzilishi katika Kila Nchi: Kwenda Kanisani na GhukaHadithi ya watangulizi kuhusu mvulana nchini Kenya anayechagua kumfuata Mwokozi na manabii kwa kubatizwa. Hebu Tupate Kupika: Shayiri ya Usiku KuchaSaidia kuutunza mwili wako kwa kujaribu pishi la kufurahisha. Margo na Paolo: Bangili za UrafikiMargo na Paolo wanafikiria kuhusu rafiki aliyehama. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Karly LayMaandiko kwa KiswahiliJared anapata njia ya kuwa rafiki wa Emmanuel, mvulana mpya katika kata yake, ingawa hawazungumzi lugha moja. Majibu kutoka Kwako: Ni kwa Jinsi Gani Unapata Marafiki?Watoto wanashiriki vidokezo juu ya jinsi ya kupata marafiki. Abby LirkinsKukasirika Sana hata Kushindwa KusaliMsichana mdogo amekasirika na anafikiria mambo aliyo na shukrani kwayo ili aweze kutulia. Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo Kwa Ajili ya Marafiki WadogoUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo. Carolina MaldonadoMiwani IliyopoteaAndrés anapoteza miwani yake shuleni na anasema sala ya kuipata. Misingi ya Injili: Nifundishe Kuhusu SalaHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu sala. Ukurasa wa Kupaka RangiUkurasa wa kupaka rangi kwa ajili ya watoto Makala ya ImaniUkurasa wa kuwasaidia watoto kuelewa Makala za Imani. Barua za RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!