“Karibuni, Marafiki!” Rafiki, Januari 2025, 1.
Karibuni, Marafiki!
Ni mwaka mpya wa kujifunza na Rafiki!
Nenda kwenye kurasa za 24 na 26 ili kusoma kuhusu Ono la Kwanza na Urejesho wa Kanisa. Unaweza hata kufanya mandhari yako mwenyewe ya Ono la Kwanza na kushiriki hadithi (ukurasa wa 13).
Soma ujumbe kutoka kwa Rais Nelson kuhusu kwa nini Urejesho ni muhimu sana (ukurasa wa 2). Kanisa ni sawa na Kanisa la Kristo wakati alipokuwa duniani!
Kunaweza kuwa na maneno makubwa usiyoyajua bado unapojifunza kuhusu historia ya Kanisa. Kwa msaada, ona ukurasa wa 6.
Furaha kwenye kujifunza!
Jarida la Rafiki