“Nini cha Kukumbuka Wakati Maisha Ni Magumu,” Rafiki, Januari 2025, 7. Majibu kutoka kwa Mtume Nini cha Kukumbuka Wakati Maisha Ni Magumu Na Rais Jeffery R. Holland Kaimu Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili Imetoholewa kutoka “Usiogope: Amini Tu!” Liahona, Mei 2022, 34–36. Una nguvu zaidi kuliko unavyofikiria. Una nuru ya Kristo moyoni mwako. Unapendwa, unathaminiwa na unahitajika. Wewe ni mtoto wa Mungu aliye hai ambaye anakupenda. Fungua PDF Vielelezo na Mark Robison