2025
Kijisitu Changu Mwenyewe Kitakatifu
Desemba 2024


“Kijisitu Changu Mwenyewe Kitakatifu,” Rafiki, Januari 2025, 18–19.

Ninaweza Kuupiga!

Kijisitu Changu Mwenyewe Kitakatifu

Kwa hisia [robo noti] = 50-65

PDF ya Muziki

Joseph Smith alikwenda kwenye kijisitu kilichojaa miti;

Akitafuta hekima ya Mungu, alipiga magoti.

Alipokuwa akisihi mbingu, mbingu zilizojaa nuru,

Na Baba akamtokea pamoja na Mwanawe, Yesu Kristo,

Wakiwa wamesimama juu angani

Wakija kujibu sala yake.

Kiitikio: Nitapata kijisitu changu mwenyewe kitakatifu.

Mbali na kelele zote za ulimwenguni.

Nitageukia sala,

Kwani najua Yeye yupo pale

Nitapata kijisitu changu mwenyewe kitakatifu.

Chaguzi nyingi zilizo na mengi yaliyo hatarini.

Njia nyingi za maisha, lakini ninapaswa kuchukua ipi?

Kama nikiinuka juu katika sala katika jina la Mwana,

Kupitia nguvu ya Roho Mtakatifu majibu yatakuja.

Baba wa Mbinguni yupo,

Tayari kujibu sala yangu.

Kibwagizo

Nitapata kijisitu changu mwenyewe kitakatifu.