2025
Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo
Desemba 2024


“Kwa Ajili ya Watoto Wadogo,” Rafiki, Januari 2025, 42–43.

Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo

Picha ya uso wa msichana

Ninampenda Yesu na familia yangu!

Amanda B., umri miaka 4, Mkoa wa Salta, Ajentina

Picha ya uso wa mvulana

Ninahisi amani ninapokuwa pamoja na familia yangu.

Michael M., umri miaka 5, California, Marekani

Fuata mistari ya nukta ili kujifunza jinsi ya kumchora mtoto akisali.

Angalia kwa ukaribu ili kujua nini kiko katika kila picha!

Wapate watoto wadogo wanaowasaidia wengine kwa kufanya mambo haya:

  • kubeba vyakula

  • kutunza mnyama

  • kusafisha

PDF ya Shughuli

Vielelezo na Natalie Briscoe