2025
Safari ya Mashua kwenda Hekaluni
Desemba 2024


“Itafute ya Historia ya Kanisa,” Rafiki, Januari 2025, 29.

Itafute ya Historia ya Kanisa

Safari ya Mashua kwenda Hekaluni

Mnamo mwaka 1992 waumini wa Kanisa huko Brazil walifanya safari ya mashua kwenda hekaluni. Waliishiwa na maji ya kunywa na walisali kwa ajili ya msaada. Punde tufani ikaja na kuleta maji safi ya kunywa. Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa?

Shughuli ya picha iliyofichwa

Vielelezo na Dave Klüg