“Diorama ya Ono la Kwanza,” Rafiki, Januari 2025, 13.
Kitu cha kuburudisha
Diorama ya Ono la Kwanza
Kuwa mbunifu! Haya ni baadhi ya mawazo.
-
Tumia rangi au karatasi kupamba sanduku kama msitu.
-
Jaribu kutumia vijiti halisi na mawe!
-
Kata tundu na uangaze nuru kupitia tundu ili kuwa kama nguzo ya mwanga Joseph aliyoiona.
-
Kata hii na uiweke ndani ya kisanduku chako.
Sanaa ya Joseph Smith na Alyssa Tallent; masanduku ya diorama na picha na Anna Oldroyd