2025
Barua za Rafiki
Desemba 2024


“Barua za Rafiki,” Rafiki, Januari 2025, jalada la nyuma.

Barua za Rafiki

Pale ninaposomea Rafiki

Msichana akiwa ameshikilia nakala ya toleo la Kihispania la jarida la Rafiki

Karla M., umri miaka 11, anasoma jarida la Rafiki kwa Kihispania akiwa huko Catalonia, Uispania.

Napenda Kuliona Hekalu

Msichana mdogo akiwa amevalia vazi jeupe akiwa amesimama mbele ya milango ya hekalu

Gabriely Q., umri miaka 3, alitembelea Hekalu la Cochabamba Bolivia.

Chapa ya Mikono ya Wanyama

Wavulana wawili wadogo wakiwa wameshikilia bidhaa ya ufundi ya wanyama iliyotengenezwa kutokana na umbo la mkono

Tulikuwa na burudani ya kutengeneza wanyama kwa kutumia mikono yetu (Okt. 2023)!

Arthur na Hector P., umri miaka 3 na 6, Minas Gerais, Brazili

Je, una kitu fulani cha kushiriki? Tutumie kwa fomu iliyopo hapa chini.