Rafiki la Julai 2025 Mwokozi WanguSanaa ya mchoro ya kupendeza ya Yesu Kristo. Karibuni, Marafiki!Barua ya utangulizi kwa jarida la Rafiki Henry B. EyringMfano wa Mama wa Bibi YanguRais Eyring anashiriki hadithi kuhusu mama wa bibi yake na jinsi alivyoshiriki injili. Carolina MarínSuluhisho la KivuliMvulana na msichana wanapanda miti ili kuitunza dunia. Maneno Yangu ya InjiliUkurasa wa kuwafundisha watoto ufafanuzi wa maneno ya injili. Ronald A. RasbandMajibu kutoka kwa Mtume: Maneno Yako ni MuhimuSoma ujumbe kutoka kwa Mzee Rasband kuhusu kutumia maneno yako kuonyesha ukarimu. Salamu kutoka Taiwani!Fanya safari ili ujifunze kuhusu Taiwani! Kumfuata Yesu huko TaiwaniKutana na Ellie kutoka Taiwani na ujifunze jinsi anavyomfuata Yesu. Kadi za MahekaluKadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Vitu vya Kuburudisha: Njia ya TobaShughuli ya kuwasaidia watoto kujifunza kuhusu toba. Marafiki kote UlimwenguniMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Lucy Stevenson EwellKanisa Jipya la JamesiJamesi na familia yake wanahudhuria Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho kwa mara ya kwanza. Brynn J.Imeandikwa na Wewe: Je, Yesu ni Halisi?Brynn J. anashiriki uzoefu wake kuhusu kusali ili kujua kama kweli Mungu ni halisi. Gérald CausséUlimwengu Wetu wa KupendezaMzee Caussé anazungumza kuhusu jinsi ilivyo muhimu kwetu sisi kuwa wasimamizi wazuri juu ya uumbaji wa Mungu. Njoo, Unifuate Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Mpango wa Baba wa MbinguniUkurasa wa kupaka rangi unaoonyesha mpango wa wokovu. Hadithi za Maandiko: Mitume Wanahudumu Misioni UingerezaSoma hadithi kuhusu jinsi Mitume wa Kanisa lililorejeshwa walivyoshinda ugumu wa kutumikia misioni huko Uingereza. Itafute ya Historia ya Kanisa: Marafiki wa Chakula cha JioniShughuli ya picha iliyofichwa kwa ajili ya watoto Rebekah JakemanWaanzilishi katika Kila Nchi: Kidogo Kama MbinguniHadithi ya waanzilishi kuhusu msichana kutoka India aliyechagua kujiunga na Kanisa. Acha Tuendelee Mbele: Mchezo wa Kurusha HarakaMchezo wa kurusha ili kuwasaidia watoto kubakia washiriki kikamilifu na kuzoeana na marafiki na familia. Margo na Paolo: Huduma ya WanyamaMargo na Paolo wanahudumu katika makazi ya wanyama pamoja na familia yao. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Lydia Defranchi-NelsonSiyo Kamilifu SanaAdeline anakasirika anapojaribu na kushindwa kuwa na siku iliyo kamilifu isiyo na makosa. Kujifunza na KukuaShiriki makala hii pamoja na vijana wenzako ili kuwafundisha kuhusu toba na Yesu Kristo. Bradley Salmond IIIPesa SokoniMvulana mdogo anawaambia wazazi wake kuhusu pesa alizotumia sokoni. Kwa Ajili ya Watoto Wadogo Kwa Ajili ya Watoto WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Jane McBrideManeno Matamu na RahisiKaci anachagua kutumia maneno yake ili kuwafanya wengine wawe na furaha. Misingi ya Injili: Nifundishe Kuhusu Kusema SamahaniHadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kusema samahani. Ukurasa wa Kupaka Rangi: Mungu Aliumba Kila Kiumbe DunianiUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Bwana anajua mimi ni nani na ananipenda.” Makala za ImaniUkurasa wa kuwasaidia watoto kuelewa Makala za Imani. Barua ya RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!