2025
Kwa Ajili ya Watoto Wadogo
Mei 2025


Kwa Ajili ya Watoto Wadogo

Msichana akitabasamu

Nilijifunza katika Darasa la Watoto kwamba ushuhuda wangu unaweza kukua kama mbegu.

Tainá S., umri miaka 5, São Paulo, Brazili

Mvulana akitabasamu

Ninapenda kushiriki na wengine wanasesere wangu.

Meshack O., umri miaka 4, Kaunti ya Jiji la Nairobi, Kenya

Je, unaweza kupata sehemu hizi za picha?

Ukurasa wa PDF

Vielelezo na Brian Michael Weaver