Majibu kutoka kwa Mtume Maneno Yako Ni Muhimu Na Mzee Ronald A. Rasband Wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili Imetoholewa kutoka “Maneno ni Muhimu,” Liahona, Mei 2024, 76. Maneno yetu ni muhimu. Kwa hiyo kuwa makini kwa kile unachosema na jinsi unavyokisema. Hapa kuna vishazi vitatu rahisi ambavyo tunaweza kutumia kuwainua wengine: “Asante.” “Samahani.” Na “ninakupenda.” Fungua PDF Vielelezo na Mark Robison