2025
Barua ya Rafiki
Mei 2025


Barua ya Rafiki

Mahali Ninaposoma Rafiki

Msichana mwenye tabasamu akiwa amezungukwa na nakala za jarida la Rafiki

Elise M., umri miaka 11, anasoma jarida la Rafiki kwa Kiingereza huko Washington, Marekani.

Hekalu la Kirtland

Msichana akitabasamu akiwa ameshikilia karatasi ya sanaa ya hekalu

Nilikuwa na burudani kutengeneza sanaa ya Hekalu la Kirtland (Mei 2024)!

Suki W., umri miaka 10, Washington, D.C., Marekani

Napenda Kuliona Hekalu

Mvulana mwenye tabasamu akiwa amesimama mbele ya hekalu

Tomas E., umri miaka 8, alitembelea Hekalu la Buenos Aires Argentina.

Je, una kitu cha kushiriki? Tutumie pamoja na fomu iliyopo hapa chini.

Ukurasa wa PDF