Huko Korea Kusini katika miaka ya 1990, baadhi ya wavulana walicheza michezo katika jengo la kanisa la eneo hilo. Askofu aliwaalika wapate chakula nyumbani kwake. Wavulana tisa kati yao baadaye walibatizwa na kutumikia misioni. Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa?