Margo na Paolo
Huduma kwa Wanyama
Asanteni kwa kujitolea kwenye makazi ya wanyama wetu! Je, mko tayari kuwasaidia baadhi ya wanyama?
Ndiyo!
Hii itakuwa ya kufurahisha. Wazo zuri, Margo!
Asante! Kuwasaidia wanyama hunifanya niwe na Furaha
Mimi ninayo furaha! Yesu Kristo aliumba vitu vyote vilivyo hai. Tunahitaji kutunza viumbe Wake.
Ndio maana ninataka kuwa daktari wa mifugo nitakapokua mkubwa!
Sasa ni wakati wa kwenda nyumbani na kumtunza mnyama wetu.
Kiwi lazima atakuwa na njaa!
Vielelezo na Katie McDee