Novemba 2024 Marafiki WapendwaSomeni ujumbe kuhusu mkutano mkuu. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni! Mkutano Mkuu Ni Kwa Ajili Yako! Russell M. NelsonYesu Kristo Atakuja TenaSoma ujumbe wa mkutano kuhusu Ujio wa Pili wa Mwokozi kutoka kwa Rais Russell M. Nelson. Habari za MkutanoJifunze habari muhimu kutoka kwenye mkutano mkuu! Mihutasari ya MkutanoSoma baadhi ya hadithi kutoka kwenye mkutano mkuu na andika kitu ulichojifunza. Manabii na Mitume WetuChati ya Viongozi Wakuu wenye mamlaka Alelie Coronel-CamitanMkutano MaalumuIndira anasikiliza mkutano mkuu na anafuatilia ujumbe wa nabii kuhusu kuwasaidia wengine. Kumfuata Yesu huko KenyaKutana na Martin kutoka Kenya na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka Kenya!Fanya safari ili ujifunze kuhusu Kenya! Maja Kralj na Noelle Lambert BarrusMaandiko ya Furaha ya MajaMaja anasoma hadithi ya Kitabu cha Mormoni pamoja na mama yake ili kutafuta maandiko yake ayapendayo. Brayden B.Kitabu Changu cha Mchoro cha HekaluBrayden B. anashiriki sanaa yake ya hekaluni. Kutembelea HekaluShughuli ya kuwasaidia watoto kujifunza kuhusu hekalu. Gerrit W. GongMaagano Ni Nini?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Gong kuhusu maagano. Kuunganishwa kwa MaaganoShughuli ya kuwasaidia watoto kutengeneza mnyororo wa viungo vya maagano. Kuunganishwa Hekaluni ni Nini?Kadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Mashua za WayarediShughuli ya picha iliyofichwa ya mandhari ya Kitabu cha Mormoni. Njoo, Unifuate Kaka wa YarediKaka wa Yaredi alimfuata Yesu na kuisaidia familia yake kusafiri hadi nchi ya ahadi. Mormoni na Mabamba ya DhahabuSoma hadithi kuhusu jinsi Mormoni alivyohifadhi mabamba ya dhahabu. Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Kimberley WarnerKulima Bustani pamoja na MamaEmily anafanya kazi na mama yake katika bustani na anafikiria kuhusu uumbaji wa Mungu. Rebekah JakemanKusali kwa ajili ya AlejandroWakati kaka yake Gerardo anapougua, anajifunza kwamba Yesu Kristo anajua jinsi tunavyohisi. Margo na PaoloMargo anajifunza kuhusu staha. Sehemu ya Watoto Wakubwa Sehemu ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Watoto Wakubwa. Ashley StarkJe, Ninatakiwa Kuwa Mkamilifu?Henry anajifunza kwamba hahitaji kuwa mkamilifu ili kwenda hekaluni. Vidokezo kwa ajili ya Safari Yako ya Kwanza ya HekaluniVidokezo vya kuwasaidia vijana kujihisi wamejiandaa kwa ajili ya matembezi yao ya kwanza ya hekaluni. Lucy Stevenson EwellMkubwa Sana kwa ajili ya Darasa la WatotoGift anataka kutoka Darasa la Watoto na kwenda darasa la Wasichana mapema mpaka atakapojifunza jinsi ya kufanya Darasa la Watoto kuwa na maana zaidi. Habari kunihusuShughuli kwa ajili ya watoto wanaojiandaa kuondoka Darasa la Watoto. Sehemu ya Marafiki Wadogo Sehemu ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa na StahaHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu kuwa wenye staha. Manabii Ni Nani?Hadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu manabii Baba wa Mbinguni Ananitaka Nimpende Kila Mtu.Ukurasa wa kupaka rangi kuhusu jinsi Baba wa Mbinguni anavyotutaka tumpende kila mtu. Kristo Anawapa Nguvu ya Kuwabariki WanefiSanaa nzuri ya Yesu Kristo akiwapa wanafunzi wake wateule Wanefi uwezo wa kutoa Roho Mtakatifu. Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu kuwasaidia watoto kujiandaa kwa ajili ya madarasa ya Wasichana na Wavulana.