2024
Maagano Ni Nini?
Novemba 2024


“Maagano Ni Nini?” Rafiki, Novemba 2024, 20.

Majibu kutoka kwa Mtume

Maagano Ni Nini?

Imetoholewa kutoka “Kuwa wa Agano,” Liahona,, Nov 2019, 80–83.

Mvulana akibatizwa

Maagano ni ahadi ambazo zinatusaidia kumpenda Mungu na kila mmoja wetu.

Tunapofanya maagano kwenye ubatizo na hekaluni, tunaalika nguvu za Mungu katika maisha yetu.

Kwa kushika maagano yetu, tunakuwa bora kadiri tunavyoweza kuwa.

Maagano yanatusaidia kufuata njia ambayo Yesu Kristo ametuwekea.

PDF

Vielelezo na Brooke Smart