“Habari Kunihusu,” Rafiki, Novemba 2023, 42.
Kitu cha kuburudisha
Habari kunihusu
Jaza gazeti hili na lishiriki na marafiki na familia ili waweze kujua zaidi kuhusu wewe!
Mimi:_______________
Habari za hivi karibuni
-
Kitu cha ujasiri nilichokifanya:
-
Kitu nilivyojifunza:
Mambo muhimu kutoka Darasa la Watoto
-
Wanafunzi wenzangu:
-
Walimu wa Watoto:
-
Andiko Pendwa:
-
Wimbo wa Msingi Pendwa:
Matarajio yangu kutoka kwa Wasichana/Wavulana.
Mapendeleo Yangu
-
Wimbo:
-
Kitabu:
-
Jambo la kufanya:
-
Chakula: