2024
Manabii ni Nani?
Novemba 2024


“Manabii ni Nani?” Rafiki, Nov. 2024, 46–47.

Misingi ya Injili

Manabii ni Nani?

Rais Russell M. Nelson

Rais Russell M. Nelson ni nabii wa Kanisa hili leo.

Nabii akifundisha

Nabii ni mtu aliyeitwa na Mungu kuongea kwa niaba Yake na kuongoza Kanisa la Yesu Kristo.

Manabii kutoka kwenye maandiko

Maandiko yanatusimulia hadithi kuhusu manabii kutoka zamani za kale.

Mwanamke na msichana wakisoma maandiko

Mungu hutubariki na kutulinda tunapofuata mafundisho ya manabii.

Yesu Kristo

Tunapomfuata nabii, tunamfuata Yesu Kristo.

PDF

Vielelezo na Alyssa Tallent