“Mashua za Wayaredi,” Rafiki, Nov. 2024, 23.
Mchezo wa Kitafute Kitabu cha Mormoni
Mashua za Wayaredi
Bwana aliwasaidia Wayaredi kujua jinsi ya kujenga merikebu zao ili waweze kusafiri salama hadi nchi ya ahadi (ona Etheri 2:16–18). Je, unaweza kuvipata vitu vyote vilivyofichwa?
Vielelezo na Suzy Gerhart