“Kristo Anawapa Nguvu ya Kuwabariki Wanefi,” Rafiki, Oktoba 2024, 49.
Kristo katika Kitabu cha Mormoni
Kristo Anawapa Nguvu ya Kuwabariki Wanefi
“Na ikawa kwamba … [Yesu] aliwagusa wanafunzi ambao alikuwa amewachagua kwa mkono wake, mmoja mmoja mpaka alipowagusa wote, na aliwazungumzia huku akiwagusa.
“Na … wanafunzi wanashuhudia kwamba aliwapatia uwezo wa kutoa Roho Mtakatifu” (3 Nefi 18 36–37).
Wanafunzi Ambao Alikuwa Amewachagua na Casey Childs