2024
Margo na Paolo
Novemba 2024


“Margo na Paolo,” Rafiki, Nov. 2024, 34.

Margo na Paolo

Staha ni Muhimu

Familia ikienda kanisani

Acha tujaribu kuwa na staha wakati wa kanisa, SAWA?

Margo, Paolo na Lucas

Margo, hiyo inamaanisha hakuna kelele za wanyama wiki hii.

Nilikuwa nikimwambia Lucas kuhusu safina ya Nuhu! Ilinibidi nipige kelele za wanyama.

Hawakutakiwa kuwa na sauti kubwa, hata hivyo.

Margo

Kwa nini tunapaswa kuwa wenye staha? Kukaa kimya kunachosha.

Margo na Bibi

Sio tu kuhusu kuwa kimya. Staha humaanisha heshima na upendo wa kina.

Margo, Baba na Bibi

Hivyo … tunapokuwa wenye staha, tunamwonyesha Baba wa Mbinguni ni kiasi gani tunampenda Yeye?

Hiyo ni sahihi! Na tunamwalika Roho Mtakatifu kutusaidia kuhisi jinsi Mungu anavyotupenda sisi pia.

Margo akiwa amekaa kwa staha kanisani

Ninakupenda, Baba wa Mbinguni!

PDF

Vielelezo na Katie McDee