“Sehemu ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Novemba 2024, 43.
Sehemu ya Marafiki Wadogo
Yesu wakati mmoja alikuwa mtoto mdogo kama mimi!
Theophilus S., umri miaka 4, Mashonaland Mashariki, Zimbabwe
Ninasaidia kumchangamsha kaka yangu mdogo anapokuwa na huzuni na mama yangu anapokuwa na shughuli nyingi.
Penny S., umri miaka 5, Alberta, Kanada
Mfuate Nabii;
Yeye anaijua njia.
Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 110