“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwenye Staha,” Rafiki, Nov. 2024, 44–45.
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwenye Staha
Ninaweza kuwa mtulivu na mwenye heshima.
Ninaweza kukunja mikono yangu ninaposali.
Ninaweza kutumia sauti tulivu kanisani.
Ninapokuwa mwenye staha, ninamwonyesha Yesu kwamba ninampenda.
Wakati wa Shughuli
Onyeshaneni kwa kidole kwa kila mtu. Fanya mazoezi ya kuyataja majina yao kwa staha.
Yesu Kristo
Joseph Smith
Nefi
Rais Nelson
Vielelezo na Bryan Beach