Machi 2025 Makala Zilizoangaziwa Neil L. AndersenBaba wa Mbinguni Anataka Kuzungumza Nawe.Mzee Andersen anafundisha kwamba Baba wa Mbinguni atazungumza nasi kama tutamwita Yeye katika sala, kusikiliza sauti Yake, na kuwa na moyo wa kuamini. Christophe G. Giraud-CarrierNjia za Mawasiliano ya KiunguMzee Giraud-Carrier anafundisha kwamba mawasiliano na Baba yetu wa Mbinguni ni baraka kuu na anaelezea njia za kuwezesha mawasiliano haya. Wanawake wa AganoCamille N. JohnsonNi kwa Jinsi Gani Maagano Yetu Hutusaidia Kuvuta Nguvu za Mungu?Rais Johnson anafundisha kuhusu baraka za nguvu ya agano la Mungu, inayopatikana kwetu kwa sababu ya dhabihu ya Mwokozi ya kulipia dhambi. Shaun StahleHuduma ya Mitume: Kazi Ambayo Hakuna Mwingine Anayeweza KufanyaNi muhtasari wa huduma ya washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili wa sasa. Danielle ChristensenKuwa wa Mpango wa Mungu na HekaluniMwanandoa au mseja, hakuna mtu mwenye kustahili atakayenyimwa baraka zote za Baba wa Mbinguni za hekaluni. Mitazamo ya Kihistoria juu ya Nyumba ya BwanaJonathan A. StapleyKuvikwa na Uwezo kutoka JuuKama wanafunzi katika Agano Jipya, Watakatifu wa Siku za Mwisho waliahidiwa endaumenti ya nguvu kutoka kwa Bwana. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Juan GideoniNani Alijaza Kisima?Baada ya mji mmoja huko Kenya kukata huduma za maji, kisima cha ubatizo kimiujiza kilijaa kabla ya ubatizo. Brandon BurtonKagua LangoMmisionari anayehudumu katika shamba la mifugo anajifunza somo kuhusu kumridhia Roho katika mambo yote. Sundae Mae IndinoNjia Yangu ya Kuvumilia kwa SubiraDada anayesumbuka na afya duni hupata nguvu kupitia injili ya Yesu Kristo na maneno ya Mtume. Josephine Mae TannerBaki Umeunganishwa na MwokoziAkiwa anaendesha ATV pamoja na familia yake, mwandishi anajifunza kuhusu silaha za Mungu na kubakia na muunganiko kiroho kwa Mwokozi wake. William Randall (Randy) ConeJe, Mimi ni Mwema vya Kutosha?Mwandishi anapata ukweli wa kiroho siyo kwa kuishi mtindo mbadala wa maisha bali kwa kukubali injili ya urejesho na kwenda hekaluni. Njoo, Unifuate Urejesho wa SakaramentiNi wakati wa kufaa wa kutusaidia kukumbuka dhumuni na umuhimu wa sakramenti. Njia 7 za Kufurahia Muziki Wenye Mwongozo wa KiunguMawazo machache ya kuleta muziki wenye mwongozo wa kiungu katika maisha yako. Vijana Wakubwa Savannah LuntMungu Alizungumza na Watakatifu wa Mwanzo—Je, Anazungumza na Mimi?Tunaweza kupokea jumbe kutoka kwa Mungu ambazo ni za kibinafsi na halisi. Savanna CummingsJe, Ninaweza Kweli Kuamini Mwongozo wa Nabii?Kijana mkubwa anajifunza umuhimu wa mwongozo wa kinabii wakati anapookolewa kutoka kwenye misheni yake. Mfululizo wa Matukio Kanisa Liko HapaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoTazamo la mara moja katika Kanisa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kutumia Majarida ya KanisaShikamana na Maagano YetuMapendekezo ya kutumia majarida ya Kanisa ili kutusaidia kuishi injili ya Yesu Kristo. Sanaa ya Historia ya KanisaDuka la Kupiga Chapa la E. B. GrandinPicha ya msanii ya duka la kupiga chapa la E. B. Grandin huko Palmyra, New York, Marekani Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Imani: Kichocheo cha Kupenda, Kushiriki na Kualika Kufanya Kazi na Bwana kwenye Shamba Lake la Mzabibu Kutana na Mshauri wa Pili Mpya wa Eneo la Kati la Afrika Mzee Christophe G. Giraud-Carrier na Dada Isabell Giraud-Carrier Safari ya Imani: Njia ya Miaka 25 ya Familia ya Waji kwenda Hekaluni Mbingu Zinafunguka KNV ya Uganda Inajenga na Kuwezesha Dondoo za Kitabu cha Maelezo Wito Wa Makala Nyenzo Maalumu za Kanisa za Mtandaoni