Rafiki la Mei 2025 Mwokozi WanguSanaa ya kupendeza ya Yesu Kristo. Karibuni, Marafiki!Barua ya utangulizi wa toleo hili la jarida la Rafiki. Mkutano Mkuu ni Kwa Ajili Yako! Russell M. NelsonUjumbe wa Mkutano Mkuu kutoka kwa Nabii: Kujiamini katika uwepo MunguUjumbe wa mkutano mkuu kutoka kwa nabii kuhusu kujiamini mbele za Mungu. Mihutasari ya Mkutano MkuuMihtasari kwa ajili ya watoto kutoka kwenye hotuba zilizotolewa katika mkutano mkuu wa Aprili 2025. Kujifunza kutoka kwenye Mkutano MkuuShughuli na nukuu zinazohusiana na mkutano mkuu wa Aprili 2025 Cindy Herron GladUsimfuate Mbwa Yule!Msichana anahisi msukumo kutoka kwa Roho Mtakatifu kutomfuata mbwa aliyepotea ili aweze kuwa salama. Maneno Yangu ya InjiliUkurasa wa kuwafundisha watoto ufafanuzi wa maneno ya injili. D. Todd ChristoffersonMajibu kutoka kwa Mtume: Ushuhuda juu ya YesuSoma ujumbe kutoka kwa Mzee Christofferson kuhusu kile inachomaanisha kupokea ushuhuda juu ya Yesu. Salaam kutoka MalaysiaFanya safari ili ujifunze kuhusu Malaysia! Kumfuata Yesu huko MalaysiaKutana na Luke kutoka Malaysia na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Kadi za MahekaluKadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Gabe M.Imeandikwa na Wewe: Kutembea katika Nyayo ZakeGabe M. anashiriki kuhusu jinsi tunavyoweza kutembea katika nyayo za Yesu. Sheila KindredKopo lenye SiriSadie anajifunza kwamba lebo muhimu zaidi ni kwamba sisi ni watoto wa Mungu. Vitu vya Burudani: Kukuza Vipaji VyanguShughuli ya kuwasaidia watoto kufikiria kuhusu kile wanachoweza kuwa wakati wanapokua. Njoo, Unifuate Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Historia Yangu BinafsiUkurasa wa shajara ya kuburudisha kwa watoto ili kujaza. Hadithi za Maandiko: Mary na Carolina Wanaokoa MaandikoSoma hadithi kuhusu jinsi Mary na Caroline Rollins walivyookoa kurasa za Kitabu cha Amri. Historia ya Kanisa Tafuta: Wamisionari wa mpira wa kikapuShughuli ya picha iliyofichwa kwa ajili ya watoto Lucy Stevenson EwellWaanzilishi katika Kila Nchi: Kushiriki Mwangaza wa JuaHadithi ya mwanzilishi kuhusu Angél Abrea, mwongofu wa awali huko Argentina na kiongozi mkuu mwenye mamlaka wa kwanza wa Amerika ya Latini. Acha Tuanze Kupika: Asusa za Kuchanganya na KufananishaJifunze zaidi kuhusu vitafunwa vya kuburudisha vya mboga mboga na uone ni mchanganyiko gani unaweza kuufanya! Margo na Paolo: Sauti Ndogo, TulivuMargo na Bibi wanazungumza kuhusu Roho Mtakatifu. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Savannah L. TannerHofu JukwaaniBella anaamua kufanya majaribio kwa ajili ya igizo la shule na kujifunza kuthamini mwili wake. Mwili Wako ni Zawadi!Shughuli ya kuwasaidia watoto kujifunza kuithamini miili yao kama zawadi kutoka kwa Mungu. Abby LarkinsTukio la Safari ya MsituniNyamedo anajifunza kwamba kufuata misukumo ya Roho Mtakatifu kutamweka salama. Kwa Ajili ya Marafiki Wadogo Kwa Ajili ya Watoto WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Bethany BartholomewFuata Maneno ya FurahaFamilia hutumia chaki ya pembeni kuandika jumbe chanya kwa watoto wa shule wanaotembea kwenda nyumbani. Misingi ya Injili: Nifundishe Kuhusu Roho MtakatifuHadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu Roho Mtakatifu. Ukurasa wa Kupaka Rangi: Yesu Kristo ni Mchungaji wangu Mwema.Ukurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Yesu Kristo ni Mchungaji Wangu Mwema.” Makala za ImaniUkurasa wa kuwasaidia watoto kuelewa Makala za Imani. Barua ya RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!