“Kukuza Talanta Zangu,” Rafiki, Mei 2025, 21.
Kitu cha kuburudisha
Kukuza Talanta Zangu
Baba wa Mbinguni anataka sisi tukuze talanta zetu na tusizifiche mbali ( ona Mafundisho na Maagano 60:2–3). Zungusha kete ili kusogea kwenye nafasi. Unapotua kwenye nafasi, zungumza kuhusu aina gani ya talanta ambazo mtu huyo anaweza kuwa nazo. Ni talanta gani unataka kuifanyia kazi?
-
Mwalimu
-
Daktari
-
Mpishi Mkuu
-
Mwanasayansi
-
Mwanafalaki
-
Dereva wa Basi
-
Mwanariadha
-
Afisa wa Polisi
-
Mzazi
-
Daktari wa Meno
-
Fundi Umeme
-
Fundi Bomba
-
Mhandisi
-
Mwandishi
-
Mfanyakazi wa Ujenzi
-
Mwanamuziki
-
Nesi
-
Msanii
-
Mmiliki wa Biashara
-
Mfanyakazi wa Usafi wa Mazingira
-
Mfanyakazi wa zima moto
-
Mwimbaji
-
Mtafiti
-
Daktari wa Mifugo
Vielelezo na Brooke Smart