2025
Wamisionari wa Mpira wa Kikapu
Mei 2025


“Wamisionari wa Mpira wa Kikapu,” Rafiki, Mei 2025, 29.

Itafute ya Historia ya Kanisa

Wamisionari wa Mpira wa Kikapu

Shughuli ya picha iliyofichwa ya watu wakicheza mpira wa kikapu

Katika miaka ya 1950, wamisionari nchini Australia waliunda timu ya mpira wa kikapu iitwayo Mormon Yankees. Walicheza mbele ya umati wa watu hadi watu 5,000! Hii iliwasaidia watu kujifunza kuhusu Kanisa. Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa?

Ukurasa wa PDF

Vielelezo na Dave Klüg