2025
Vitafunwa vya Kuchanganya na Kuoananisha
Mei 2025


“Vitafunwa vya Kuchanganya na Kuoananisha,” Rafiki, Mei 2025, 32–33.

Hebu Tupate Kupika

Vitafunwa vya Kuchanganya na Kuoananisha

Changanya na uoanishe mboga mboga hizi na viungo vya kupaka kwa ajili ya kitafunwa chenye afya. Ni mboga mboga gani zingine ungeweza kujaribu? Ni mchanganyiko upi unaupenda?

Mboga

Vijiti vya Karoti

Matango

Figili

Pilipili hoho

Kiungo cha kupaka

Hummus

Mtindi

Siagi ya karanga au siagi ya njugu

Parachichi iliyosagwa

Ukurasa wa PDF ukiwa na picha za mboga mboga na vichonya

Picha na Christy Powell