2025
Kwa Ajili ya Watoto Wadogo
Mei 2025


“Kwa Ajili ya Watoto Wadogo,” Rafiki, Mei 2025, 42–43.

Kwa Ajili ya Watoto Wadogo

Mama yangu ananisomea hadithi za Kitabu cha Mormoni za vielelezo. Inanisaidia kuelewa imani ni nini.

Heitor F., umri miaka 5, Paraná, Brazil

Napenda kuona hekalu.

Noāio U., umri miaka 5, Bay ya Plenty, New Zealand

Ni vitu vingapi unaweza kuvipata? Andika namba kwenye mraba kando ya kila picha.

Yesu Kristo aliumba anga letu zuri. Chora mistari kuzunguka mwezi na nyota.

Ukurasa wa PDF ukiwa na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo

Vielelezo na Samantha Windley