2025
Barua ya Rafiki
Mei 2025


“Barua ya Rafiki,” Rafiki, Mei 2025, jalada la nyuma.

Barua ya Rafiki

Mahali Ninaposoma Rafiki

Mvulana ameshikilia jarida

Renato C., umri miaka 5, anasoma jarida la Rafiki kwa Kihispania akiwa huko Soriano, Uruguay.

Mwongozo wa kiungu na Rafiki

Msichana akishikilia picha aliyochora

Nilikuwa nikisoma nakala za zamani za jarida la Rafiki na kusoma “Nenda na Utende” (Feb. 2020). Ilinipa msukumo wa kuchora picha kwa ajili ya watoto hospitalini.

Betty H., miaka 8, Indiana, Marekani

Tunapenda Kuliona Hekalu

Mvulana na msichana wakiwa wamesimama mbele ya hekalu

Iohan na Larissa O., umri miaka 11 na 9, walitembelea Hekalu la Recife Brazil.

Je, una kitu fulani cha kushiriki? Tutumie pamoja na fomu iliyopo hapa chini.

Ukurasa wa PDF