2025
Historia Yangu Binafsi
Mei 2025


“Historia Yangu Binafsi,” Rafiki, Mei 2025, 24–25.

Historia Yangu Binafsi

Tumia vishawishi kwenye ukurasa huu kuanza historia yako binafsi! Andika au chora majibu yako hapa au katika shajara.

Siku katika maisha yangu inaonekana kama …

Tarehe ya leo:

Mambo ninayofurahia kufanya na familia yangu:

Mambo ninayopenda kufanya katika muda wa ziada:

Masomo niyapendayo shuleni:

  • Kusoma

  • Hisabati

  • Sayansi

  • Sanaa

  • Historia

  • Muziki

Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo walinisaidia wakati …

Njia moja ambayo nimemsikiliza Roho Mtakatifu ni …

Wekea mviringo umri wako:

Ukurasa wa PDF

Vielelezo na Madison Baker