Rafiki la Machi 2025 Mwokozi WanguSanaa ya kupendeza ya Yesu Kristo Karibuni, Marafiki!Barua ya utangulizi wa toleo hili la jarida la Rafiki. Henry B. EyringKutoka kwa Urais wa Kwanza: Amani kutoka HekaluniRais Eyring anashiriki ujumbe kuhusu amani ambayo huja kutokana na maagano ya hekaluni. Chelsea MortensenKutafuta TumbiliBoston anajifunza kuhusu jinsi anavyoweza kumsikia Roho Mtakatifu wakati anapochagua kusikiliza. Maneno Yangu ya InjiliUkurasa wa kuwafundisha watoto maana ya maneno ya injili. David A. BednarMajibu kutoka kwa Mtume: Kupata UtulivuSoma ujumbe kutoka kwa Mzee Bednar kuhusu utulivu na amani. Halo kutoka MadagaskaFanya safari ili ujifunze kuhusu Madagaska! Kumfuata Yesu huko MadagaskaKutana na Lauren kutoka Zimbabwe na ujifunze jinsi anavyomfuata Yesu. Kadi za MahekaluKadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na ukweli kuhusu mahekalu. Vitu vya Kuburudisha: Upekuzi wa MaandikoShughuli ya kuwasaidia watoto kutafuta na kukariri maandiko. Marafiki kote UlimwenguniMkusanyiko wa nukuu na sanaa za watoto kutoka ulimwenguni kote. Joel B. RandallKufukuza Vivuli kwa Kuimbamaelezo Christina BishopJinsi Roho AnavyonenaMuziki uliorahisishwa kwa ajili ya “Jinsi Roho Anavyonena.” Yoon Hwan ChoiKutoka kwa Viongozi Wetu: Msaada kutoka MbinguniMzee Choi anashiriki kuhusu jinsi Baba wa Mbinguni atakavyotusaidia kushinda vitu vigumu kupitia Kristo. Njoo, Unifuate Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Pata Kuyajua Mabamba ya DhahabuFuata mfululizo wa mchakato wa kutafsiri mabamba ya dhahabu. Hadithi za Maandiko: Ukuhani UmerejeshwaSoma hadithi kuhusu Joseph Smith akibatizwa na kupokea ukuhani. Kitafute ya Historia ya Kanisa: Kushiriki Injili kwenye JukwaaShughuli ya picha iliyofichwa kwa ajili ya watoto Julia A. AndersonWaanzilishi katika Kila Nchi: Muujiza wa BiskutiHadithi ya waanzilishi kuhusu Jane Rowley, ambaye alivuka nyanda katika Kombania ya Mkokoteni ya Willie. Acha Tusonge Mbele: Kujinyoosha Kama MtiJaribu shughuli hii ya kuweka umakini ili kusaidia akili yako kuwa tulivu na imara! Margo na Paolo: Msaada wa Kazi ya NyumbaniMargo anapata msaada kwa ajili ya kazi ngumu ya nyumbani. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Jane McBrideKuhisi HuzuniMsichana mdogo anahangaika kwa msongo wa mawazo. Bibi yake anamsaidia kutambua kwamba hayuko peke yake. Njia 5 za Kushughulikia Hisia KubwaNjia tano unazoweza kukaa karibu na Baba wa Mbinguni unapopitia wakati mgumu. Alelie Coronel-CamitanKumsikia Roho MtakatifuMama yake Chim haendi pamoja nao kanisani, lakini Chim hushiriki na mama yake anapofika nyumbani kile alichojifunza kuhusu Roho Mtakatifu katika Darasa la Watoto. Kwa Ajili ya Watoto Wadogo Kwa Ajili ya Watoto WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Carolina MarínAnika JasiriAnika ana wasiwasi kushiriki katika programu ya Watoto, lakini anapata ujasiri kutoka kwa Roho Mtakatifu. Misingi ya Injili: Nifundishe Kuhusu MaandikoHadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu maandiko. Ukurasa wa Kupaka Rangi: Yesu Anapenda Wimbo wa MoyoniUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Yesu anaupenda wimbo wa moyoni.” Makala ya ImaniUkurasa wa kuwasaidia watoto kuelewa Makala za Imani. Barua za RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!