“Kwa Ajili ya Watoto Wadogo,” Rafiki, Machi 2025, 42–43.
Kwa Ajili ya Watoto Wadogo
Ninaamini katika miujiza. Inanisaidia kukumbuka kwamba Baba wa Mbinguni ananijua na ananipenda na ninampenda Yeye!
Scottie S., umri miaka 3, Bavaria, Ujerumani
Ninawatendea marafiki zangu kwa ukarimu na kuwasaidia wanapoumia.
Harrison K., umri miaka 5, Queensland, Australia
Chora mstari kutoka kila zawadi hadi kwa mtu unayeweza kumpa.
Waongoze marafiki hawa kupitia mzingile ili kufika sokoni. Ni nani wanaweza kumsaidia njiani?
Vielelezo na Greg Paprocki