“Kujinyoosha Kama Mti,” Rafiki, Machi 2025, 32.
Tuendelee Kusonga Mbele
Kujinyoosha Kama Mti
-
Simameni kwa miguu yenu pamoja na mikono yenu ikiwa imenyooshwa.
-
Fumba macho yako na uinue mikono yako juu. Ifikirie kuwa ni matawi ya mti na vidole vyako ni majani!
-
Sasa jinyooshe pole pole kutoka upande mmoja hadi mwingine. Acha mikono yako iyumbe nyuma na mbele kama upepo ukivuma kupitia matawi.
-
Vuta pumzi ndefu ndani na nje. Sasa acha mikono yako ianguke pole pole pembezoni mwako. Je, unahisije?
Kielelezo na Alexandra Colombo