“Kushiriki Injili katika Jukwaa” Rafiki, Machi 2025, 29.
Itafute ya Historia ya Kanisa
Kushiriki Injili katika Jukwaa
Huko Austria miaka ya 1960, waumini wa Kanisa walianzisha kikundi cha sanaa za maonyesho ya jukwaani. Waliandika na kufanya michezo kuhusu injili. Mamia ya watu ambao hawakuwa waumini wa Kanisa walikuja na kutazama. Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa?