2025
Upekuzi wa Maandiko
Machi 2025


“Upekuzi wa Maandiko,” Rafiki, Machi 2025, 13.

Kitu cha kuburudisha

Upekuzi wa Maandiko

Wasaidie wamisionari hawa wa mwanzo kupata njia yao mjini kwa kujibu maswali kuhusu kile Yesu Kristo alichofundisha katika Mafundisho na Maagano. Kama umekwama soma mistari ya maandiko!

  1. “Thamani ya kipi ni kubwa mbele za Mungu.

    (Ona Mafundisho na Maagano 18:10.)

    • nafsi

    • misioni ya wanaume na wanawake

  2. Jina lingine la Yesu Kristo ni Alfa na nani?

    (Ona Mafundisho na Maagano 19:1.)

    • Omega

    • Mwana

  3. Agano tunalofanya na Mungu ni jipya na nini?

    (Ona Mafundisho na Maagano 22:1.)

    • uaminifu

    • lisilo na mwisho

  4. Tunahitaji “kuweka kando” mambo ya nini?

    (Ona Mafundisho na Maagano 25:10.)

    • ulimwengu huu

    • mioyo yetu

  5. Ni kwa namna ipi kila kitu kinapaswa kufanywa katika Kanisa?

    (Ona Mafundisho na Maagano 28:13.)

    • katika utukufu

    • kwa utaratibu

Shughuli ya jaribio la chati ya maswali yenye historia ikionesha majengo na watu kutoka Marekani ya karne ya kumi na tisa

Vielelezo na Zhen Liu