Januari 2025 Makala Zilizoangaziwa Russell M. NelsonShukrani kukusanyikaRais Nelson anafundisha kuhusu vipengele vitatu vya kukusanyika kwa Israeli— kukusanyika kwa Mwokozi, kukusanyika pamoja na Watakatifu, na kukusanyika katika huduma Yake. Patrick KearonHabari Njema za Upendo na ShangweMzee Kearon anashiriki shangwe na baraka tunazofurahia kwa sababu ya urejesho wa Kanisa la Mwokozi. Taniela B. WakoloBaraka za UrejeshoMzee Wakolo anafundisha kwamba sote tunaweza kushuhudia juu ya baraka za injili ya urejesho—wakati wowote, mahali popote. Wanawake wa AganoJ. Anette DennisWote Wanahitajika katika Mwili wa KristoNi kwa jinsi gani uhusiano wetu wa agano na Mungu unaweza kutusaidia kujenga mahusiano na wengine? Matthew J. GrowBaraka za mwaka 1836 na Magumu ya mwaka 1837Mambo ya juu ya kiroho ya mwaka 1836 na majaribu ya mwaka 1837 yanatoa baadhi ya masomo kwa ajili yetu leo. John H. HeathAnn na Newel Whitney na Njia ya AganoMkutano wa kwanza na Nabii Joseph mnamo 1831, Ann na Newel Whitney waliweka maagano yao na kujenga Sayuni katika siku za mwanzo za Urejesho. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Jessika Roy FrazierSiku Nzuri SanaBaba wa mwandishi anajifunza kwamba kamwe haujachelewa sana kutubu na kuja kwenye mikono inayosubiria ya Mwokozi. Yanina Murga JaramilloHiki ni Kipawa ChakoDada anakuza vipawa vyake katika juhudi za kuwabariki wengine. Miguel A. RodríguezNilipaswa KusikilizaMuumini wa Kanisa anajifunza umuhimu wa kufuata misukumo ya kiroho baada ya kutuhumiwa kimakosa kwamba hakuwa mwaminifu. Gianfranco VizziniJe, Wito Wangu wa Misheni Ulikuwa Kosa?Mmisionari kijana kutoka Afrika Kusini anafurahia mafanikio katika misheni yake kwa kushiriki talanta zake na upendo wake kwa Mwokozi. Bronwyn HawsKazi za Mungu ZilizodhihirishwaMsichana anayepatwa na upofu anapata tena uoni wake baada ya kupokea baraka na sala iliyojibiwa hospitalini. Njoo, Unifuate Ni Kweli Zipi Tangazo la Urejesho Linafundisha?Rais Nelson alitualika kujifunza, kutafakari, na kufuata kweli katika tangazo la Urejesho. Kuuliza Maswali, Kupata Majibu: Mpangilio Uliowekwa na Joseph SmithMaswali matatu na majibu ya kuimarisha shuhuda zetu za Ono la Kwanza. Nyumba ya Magogo ya Familia ya SmithPicha ya msanii ya nyumba ya magogo ya familia ya Smith. Vijana Wakubwa Simona LoveFedha Haiwezi Kununua Furaha, lakini Kristo Anatoa Shangwe BureKijana mkubwa anaamua kutoruhusu mambo ya ulimwengu yaje kati yake na Baba wa Mbinguni. Isabelle JusticeKukumbuka Kwa Nini Ninaishi InjiliKijana mkubwa anajifunza kwamba kujua kwa nini anaishi na anapenda injili ya Yesu Kristo kunaweza kumsaidia kusogea karibu na Mwokozi. Mfululizo wa Matukio Kanisa Liko HapaLiège, UbelgijiMtazamo wa Kanisa huko Ubelgiji. Kutumia Majarida ya KanisaKanisa la Yesu Kristo la UrejeshoMapendekezo ya kutumia majarida ya Kanisa ili kutusaidia kuishi injili ya Yesu Kristo. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Kujifunza na Kuitumia Injili Nyumbani Imani na Shangwe huku Akivuka Malengo ni Sifa Bainifu za Rais Mpya wa Eneo la Kati la Afrika Katika Mikono ya Yesu Hadithi Yangu ya Uongofu Kungoja Kwa Muda Mrefu Kulikuwa Kumefika Mwisho Ndoa ni muhimu kwenye mpango wa Mungu kwa ajili ya wokovu wa ubinadamu Shughuli ya 99+1 ya Historia ya Familia, Kata ya Nairobi 2nd Mambo Rahisi na ya Kuvutia ambayo Yanaimarisha Imani na Kujenga Ushuhuda Angazio la Kitabu cha Maelezo Wito Wa Makala Nyenzo Maalumu za Kanisa za Mtandaoni