“Ni Kweli Zipi Tangazo la Urejesho Linafundisha?,” Liahona, Jan. 2025.
Njoo, Unifuate
Urejesho
Ni Kweli Zipi Tangazo la Urejesho Linafundisha?
Nguvu za Nuru na Giza, na Warren Luch
Katika mkutano mkuu wa Aprili 2020, Rais Russell M. Nelson alisoma “Urejesho wa Utimilifu wa Injili ya Yesu Kristo: Tangazo kwa Ulimwengu la Maadhimisho ya Miaka Mia Mbili.” Kisha alisema: “Jifunze kuhusu hili kibinafsi na pamoja na wanafamilia yako na marafiki. Tafakari kweli hizi na fikiria athari ambazo kweli hizo zitakuwa nazo katika maisha yako ikiwa utazisikiliza, na kufuata amri na maagano ambayo yanaambatana nazo.”
Jedwali lifuatalo litakusaidia kufuata ushauri wa nabii wa kujifunza tangazo hili. Unapofanya hivyo, fikiria kutambua si tu matukio ya kihistoria ya Urejesho bali pia mkono wa Bwana ukiongoza matukio hayo. (Maandishi ya tangazo yanapatikana katika Maktaba ya Injili au mwishoni mwa somo la kwanza la Njoo, Unifuate.)
|
Aya |
Jifunze: Ni Kweli Zipi Ulizipata? |
Tafakari: Kweli Hizi Zinakufundisha Nini? |
Fuata: Ni kwa Jinsi Gani Unaweza Kutumia Kweli Hizi katika Maisha Yako? |
Shiriki: Ni kwa Jinsi Gani Unaweza Kushiriki Kweli Hizi na Familia yako na Marafiki? |
|
1 | ||||
|
2 | ||||
|
3 | ||||
|
4 | ||||
|
5 | ||||
|
6 | ||||
|
7 | ||||
|
8 | ||||
|
9 |