Rafiki la Septemba 2025 Mwokozi WanguSanaa ya mchoro ya kupendeza ya Yesu Kristo. Karibuni, Marafiki!Barua kwa watoto na wazazi kuhusu mkutano mkuu. Susan H. PorterKutoka Urais wa Darasa la Watoto: Mikate Mitano na Samaki WawiliDada Porter anashiriki ujumbe kwa ajili ya watoto kuhusu kuwahudumia wengine. Lucy Stevenson EwellSwali la Lou la MkutanoLou hana uhakika kama anapaswa kwenda kwenye tafrija ya rafiki yake Jumapili, lakini kutazama mkutano mkuu kunamsaidia kufanya uamuzi wake. Vitu vya Kuburudisha: Shughuli za MkutanoShughuli kwa ajili ya watoto kufanya wakati wakiangalia mkutano mkuu. Hallo kutoka Puerto RicoFanya ziara ili ujifunze kuhusu Puerto Rico! Kumfuata Yesu huko Puerto RicoKutana na Dariel kutoka Puerto Rico na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu. Kadi za MahekaluKadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na ukweli kuhusu mahekalu. Vitu vya Kuburudisha: Sanaa ya MshumaaShughuli ya kuwasaidia watoto kukumbuka kuwa nuru kama Yesu. Marafiki kote UlimwenguniMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Rebekah JakemanBaraka za kurudi shuleniEmily anajifunza jinsi baraka za ukuhani zinavyoweza kumsaidia. Dale G. RenlundMajibu kutoka kwa Mtume: Yesu Kristo Anataka KutusaidiaSoma ujumbe kutoka kwa Mzee Renlund kuhusu jinsi Yesu Kristo anavyoweza kutusaidia. Serena C.Imeandikwa na Wewe: Ushuhuda Wangu wa MuzikiSerena anamwomba mwalimu wake kucheza “When I Am Baptised” wakati wa darasa. Emily Belle FreemanNguvu za Mungu Ni Kipawa!Dada Freeman anazungumza kuhusu kipawa ya nguvu za Mungu. Njoo, Unifuate Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Ubao wa Mchezo wa UkuhaniShughuli ya kuwasaidia watoto kukumbuka nguvu na baraka za ukuhani. Hadithi za Maandiko: Kujenga NauvooSoma hadithi kuhusu Joseph Smith na Watakatifu wakianzisha Nauvoo na kujenga hekalu huko. Itafute ya Historia ya Kanisa: Bustani Zenye AfyaShughuli ya picha iliyofichwa kwa ajili ya watoto Lucy Stevenson EwellWaanzilishi katika Kila Nchi: Kwa sababu ya HekaluWakati dhoruba kubwa inapokuja katika kisiwa chao, Graham anafarijiwa kwa kukumbuka amani aliyohisi ndani ya hekalu wakati familia yake ilipounganishwa. Hebu Tupike: Maharage Rahisi ya Jibini ya KuchovyaJaribu kufanya mapishi haya matamu ya maharage ya kuchovya pamoja na familia yako. Margo na Paolo: Ngome ya MkutanoMargo na Paolo wanatengeneza ngome kwa ajili ya mkutano mkuu. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Noelle Lambert BarrusShati la Harvey la UbatizoWakati Harvey alipokuwa hawezi kupata shati lake jeupe la ubatizo, anasema sala akiomba kwamba dereva wa teksi atalirudisha. Brynn WenglerMambo 5 ya Kukumbuka kuhusu Usalama wa MwiliMaelezo Mazungumzo na Gabby kuhusu Kuhudumu KanisaniGabby kutoka Zimbabwe anasimulia kuhusu uzoefu wake wa kuongoza muziki kanisani. Kwa Ajili ya Watoto Wadogo Kwa Ajili ya Watoto WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Jane McBrideKucheza PamojaDiego anapata rafiki mpya na anajifunza jinsi ya kumjumuisha dada yake mdogo. Misingi ya Injili: Nifundishe kuhusu Baraka za UkuhaniHadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu baraka za ukuhani. Ukurasa wa Kupaka Rangi: Hekalu ni Nyumba ya BwanaUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Hekalu ni nyumba ya Bwana” Makala ya ImaniUkurasa wa kuwasaidia watoto kuelewa Makala za Imani. Barua ya RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!