“Mchezo wa Ubao wa Ukuhani,” Rafiki, Septemba 2025, 24–25. Mchezo wa Ubao wa Ukuhani Ukuhani ni mamlaka na nguvu kutoka kwa Baba wa Mbinguni ili kuwabariki watoto Wake. Kwa nini una shukrani kwa sababu ya ukuhani? Baraka za Ukuhani Ubatizo Sakramenti Kipawa cha Roho Mtakatifu Kuunganishwa kwa familia Fungua PDF Vielelezo na Vicky Scott