2025
Sanaa ya Mshumaa
Mei 2025


“Sanaa ya Mshumaa,” Rafiki, Septemba 2025, 13.

Kitu cha kuburudisha

Sanaa ya Mshumaa

Tunaweza kuwa nuru kwa wengine tunapowatumikia (ona Mafundisho na Maagano 103:9).

  1. Paka rangi na ukate vipande vya mshumaa.

  2. Zungusha kipande cha mstatili kwenye mrija na gundisha.

  3. Funga kwa tepu au gandisha miale ya moto nyuma ya mrija.

  4. Weka mshumaa wako mahali ambapo unaweza kuuona ili kukukumbusha kuwa nuru kama Yesu Kristo.

Ukurasa PDF wa sanaa ya mshumaa wa karatasi

Kielelezo na Denise Holmes