10
Tunaamini katika kukusanyika kiuhalisia kwa Israeli na katika urejesho wa Makabila Kumi; kwamba Sayuni (Yerusalemu Mpya) itajengwa juu ya bara la Amerika; kwamba Kristo atatawala yeye mwenyewe juu ya dunia; na, kwamba dunia itafanywa upya na kupokea utukufu wake wa kipepo.