2025
Bustani zenye Afya
Mei 2025


“Bustani zenye Afya,” Rafiki, Septemba 2025, 29.

Itafute ya Historia ya Kanisa

Bustani zenye Afya

Huko Bolivia mwaka 2014, Kanisa lilisaidia familia kujenga nyumba ya kuhifadhi mimea yao wenyewe na bustani za kontena ili kuotesha mboga. Yesu Kristo, kupitia Kanisa Lake, anawasaidia watu kote ulimwenguni! Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa?

Picha iliyofichwa ya PDF ya mwanamke na watoto wakipanda bustani katika nyumba ya kuhifadhi mimea

Vielelezo na Dave Klüg