2025
Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa
Mei 2025


“Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa,” Rafiki, Septemba 2025, 34–35.

Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa

Maneno kutoka Kwako

Mvulana akitabasamu

Mwanafunzi mwenzake alikuwa akisema maneno mabaya shuleni. Nilizungumza kwa baba yangu kuhusu hilo. Siku iliyofuata nilimuomba mwanafunzi mwenzangu kuacha kusema maneno mabaya, na alifanya hivyo.

Henry F., umri miaka 9, Texas, Marekani

Msichana akitabasamu

Mama yangu alikuwa na wasiwasi kuhusu kwenda kwa daktari. Nilimwambia nilisali usiku wa kuamkia leo kwamba kila kitu kingeenda vizuri. Alimhisi Roho.Mtakatifu Hii ilinifundisha kwamba Baba wa Mbinguni husikiliza sala zetu.

Lucia P., umri miaka 10, wilaya ya Capital, Venezuela

Hekalu la Kirtland

Mungu aliwaomba Joseph Smith na Watakatifu wa mwanzo kujenga hekalu huko Kirtland, Ohio, Marekani. Unganisha nukta kujenga hekalu.

Wanasere wa Waanzilishi

Hapa kuna baadhi ya wanasere kutoka nyakati za waanzilishi. Je, unaweza kuoanisha picha na jina?

  1. Kuzungusha Sehemu za Juu

  2. Mzunguko

  3. Dubu Apandae

  4. Gee Haw Whammy Diddle

Changamoto ya kuchora

Jaribu kuchora mnyama unayempenda ukiwa umefumba macho yako!

Ukurasa wa PDF

Vielelezo na Lisa Hunt