2025
Maharagwe ya Jibini Rahisi ya Kuchovya
Mei 2025


“Maharagwe ya Jibini Rahisi ya Kuchovya,” Rafiki, Septemba 2025, 32.

Acha Tuanze Kupika

Maharagwe ya Jibini Rahisi ya Kuchovya

  • Kopo 1 (16 oz/450 g) maharagwe yaliyokaangwa tena

  • Maparachichi 2

  • Kikombe 1/4 ( 65 g) salsa

  • Kikombe 1 (225 g) krimu chachu

  • Vikombe 2 (240 g) jibini iliyochanwa vipande vipande

  • Vya kuweka juu vya hiari: nyanya iliyokatwa katwa, vitunguu kijani, au mizeituni myeusi

  • tortilla chipsi za tortilla

Kama huna baadhi ya viungo hivi, unaweza kutumia viungo kutoka mahali unapoishi! Kama huna maharage yaliyokaangwa, unaweza kusaga pamoja maharage meusi ,na chumvi yenye kitunguu saumu.

  1. Sambaza maharage yaliyokaangwa tena katika tabaka katika kikaango cha mraba cha inchi 8 (20-cm) au sufuria au kitu kinachofanana.

  2. Katika bakuli ya wastani, parachichi iliyo sagwa na nusu ya salsa. Sasa isambaze juu ya maharage.

  3. Sasa Changanya krimu chachu na salsa iliyobaki pamoja. Isambaze juu ya parachichi.

  4. Nyunyizia jibini juu na ongeza toppings hiari.

  5. Toa ilwe na tortilla chipsi na furahia!

Ukurasa PDF wa bakuli ya chipsi za tortilla, kikaango chenye maharagwe ya kuchovya, na nyanya