2025
Baraka za kurudi shuleni
Mei 2025


“Baraka ya kurudi shuleni,” Rafiki, Septemba 2025, 16–17.

Baraka ya kurudi shuleni

Hadithi ya kweli kutoka Australia.

Msichana na wazazi wake wamekaa mezani kwenye jiko lao wakila chakula cha jioni

Je, unafurahia shule kuanza?

Ndio, lakini nina wasiwasi kuhusu hisabati. Vipi kama siwezi kufanya hivyo?

Mama akiwa na mikono yake juu ya mabega ya binti yake wakati wakizungumza mezani

Ni SAWA kuwa na uoga. Shule inaweza kuwa ngumu, lakini Baba wa Mbinguni anaweza kukusaidia!

Wazazi na mabinti wawili wakila chakula cha jioni kwenye meza ya jikoni

Je, ungependa baraka ya ukuhani kabla ya kuanza shule?

Hakika!

Baba akimpa binti baraka wakati Mama na dada wakikaa na macho yao wakiwa wamefumba na vichwa vikiwa vimeinama
Baba na binti wakikumbatiana

Asante, baba!

Msichana amekaa kwenye dawati shuleni huku mwalimu akielekeza kwenye swali la hisabati ubaoni

Tano mara saba ni ngapi?

Thelathini na tano.

Msichana akiwa ameshikilia penseli na akisoma kutoka kwenye kitabu

Ahaa …

Msichana akitabasamu na kushikilia penseli yake hewani

Nimepata!

Mama na binti wakiwa wamekaa kwenye meza yao ya jikoni; binti ana kitabu na penseli na Mama anatumia kompyuta mpakato

Je, ilikuwaje shuleni?

Vizuri. Niliweza kuwa makini katika hesabu, kama vile Baba alivyosema katika baraka yangu.

Msichana akitabasamu na kitabu mbele yake mezani

Baba wa Mbinguni ananisaidia nifokasi. Ninaweza kufanya hesabu!

PDF ya hadithi

Vielelezo na Aleksandar Zolotic; Kindly Loved na Sandy Freckleton Gagon, kwa hisani ya Havenlight