Novemba 2025 Rafiki Mwokozi WanguSanaa ya mchoro ya kupendeza ya Yesu Kristo. Karibuni, Marafiki!Barua kwa watoto na wazazi kuhusu historia ya familia Mkutano Mkuu Ni Kwa Ajili Yako! Kumkumbuka Rais NelsonMkusanyiko wa nukuu kutoka kwa Rais Nelson kama nabii Nini Hutokea Wakati Nabii Anapofariki?Picha inayoelezea kinachotokea katika uongozi wa Kanisa wakati Rais wa Kanisa anapofariki. Mihutasari ya Mkutano MkuuMihtasari ya hotuba kutoka kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 2025 Kujifunza kutoka kwenye Mkutano MkuuShughuli zinazohusiana na mkutano mkuu wa Oktoba 2025 Alissa HolyoakUchaguzi wa Logani kuhusu ZakaLogan anajifunza kwa nini kulipa zaka ni muhimu. Maneno Yangu ya InjiliUkurasa wa kuwafundisha watoto maana ya maneno ya injili. Ulisses SoaresMajibu kutoka kwa Mtume: Kuchagua Kumfuata KristoSoma ujumbe kutoka kwa Mzee Soares kuhusu kuyaweka mapenzi yetu kwa Mungu. Salamu kutoka Uhispania!Fanya safari ili ujifunze kuhusu Uhispania! Kumfuata Yesu huko UhispaniaKutana na Eimy kutoka Uhispania na ujifunze jinsi yeye anavyomfuata Yesu Kristo. Kadi za MahekaluKadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na ukweli kuhusu mahekalu. Vitu vya Kuburudisha: Saidia Kujenga Hekalu!Ukurasa wa shughuli ya mzingile wa hekalu kwa ajili ya watoto Savannah L. TannerKababu ya Nyama ya MwishoAlex anajifunza kwamba kushiriki na kaka zake kunahisi vizuri zaidi kuliko kufanya kila kitu kiwe sawa. Megan RoxasMatembezi kwa Babu MfalmeMsichana aitwaye Gift anajifunza kitu maalumu kuhusu familia kutoka kwa babu yake mfalme. Njoo, Unifuate Shughuli ya Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Kuipaka Rangi Familia YanguJifunze kuhusu historia ya familia yako unapochora picha za familia! Hadithi za Maandiko: Joseph Anafariki kwa ajili ya InjiliSoma hadithi kuhusu kifo cha kishahidi cha Joseph na Hyrum Smith. Itafute ya Historia ya Kanisa: Baraka za ZakaShughuli ya picha iliyofichwa ya matukio ya kihistoria ya Kanisa Kathy ParkinsonAmani katika SalaHadithi ya waanzilishi kuhusu Mary Jane Hunsaker, ambaye aliishi Nauvoo wakati nabii Joseph Smith alipouawa. Acha Tuendelee Mbele: Changamoto ya Usawa!Hebu tucheze mchezo wa njia ya kikwazo! Margo na Paolo: Kumkumbuka BabuMargo na Paolo wanamsherehekea babu yao ambaye alifariki. Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa Kwa Ajili ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Kwa Ajili ya Watoto Wakubwa. Noelle Lambert BarrusTayari Kuendelea KukuaJewel ana wasiwasi kuhusu kuhamia darasa la Wasichana lakini anahisi faraja kutoka kwa Roho Mtakatifu. Rachelle PetersonKutazamia Programu ya VijanaOrodha ya mambo ya kuwasaidia watoto kutazamia kujiunga na Wavulana na Wasichana mwaka wanapofikia umri wa miaka 12. Josué EImeandikwa na Wewe: 15,100 na ZaidiJosué E. anashiriki uzoefu wake wa kufanya historia ya familia na kuorodhesha kumbukumbu kwenye Family Search. Kwa Ajili ya Watoto Wadogo Kwa Ajili ya Watoto WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Rebekah JakemanNi Furaha Kusaidia!Y-Hsun anajifunza kupenda kuwasaidia marafiki zake. Misingi ya Injili: Nifundishe Kuhusu ZakaHadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu zaka. Ukurasa wa Kupaka Rangi: Naweza Kusaidia Kuitunza Familia YanguUkurasa wa kupaka rangi wenye ujumbe “Ninaweza kusaidia kuitunza familia yangu.” Makala ya ImaniUkurasa wa kuwasaidia watoto kuelewa Makala ya Imani. Barua ya RafikiSoma baadhi ya barua kutoka kwa marafiki zetu kote ulimwenguni!