“Baraka za Zaka,” Rafiki, Novemba 2025, 29.
Itafute ya Historia ya Kanisa
Baraka za Zaka
Huko Panama miaka ya 1980, wanandoa vijana hawakuwa na chakula cho chote lakini bado walilipa zaka zao. Walipokuwa wakitembea kwenda nyumbani kutoka kanisani, watu walio wajua waliwapa samaki, mchele, maharagwe, na chapati. Wakati walipofika nyumbani, walikuwa na vyakula vingi! Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa?
Vielelezo na Dave Klüg